25 Nov
mandela

Kila mwanachama wa Klabu atakuwa na wajibu ufuatao: Kulipa kiasi chote cha fedha anachodaiwa na Klabu pamoja  na  michango Kuwa mwaminifu na mtiifu kwa Klabu Kukubali kufuata Katiba hii, kanuni, maagizo na maamuzi  ya  Klabu  na  ya  vyama  vya  mpira  wa  miguu  (SUFA, FARU  na TFF) Kufuata kifungu cha sheria kinachoeleza bayana kuwa hatua zote za kisheria zinazohitaji…

25 Nov
mandela

Kamati ya ufundi na tiba Kamati  ya  ufundi  na  tiba  itachambua  vipengere  vya msingi  vya  maendeleo  ya  ufundi  ya  mchezo  wa  mpira  wa  miguu.  Itaandaa  mpango  wa  maendeleo,  kufuatilia  utekelezaji  na  kufanya  tathimini  ya mara  kwa  mara  ya  mafanikio  au  vikwazo  katika  mchezo  wa  mpira  wa  miguu  na  Klabu  kwa  ujumla.  Pia  itashughulika  na  masuala …

25 Nov
mandela

Mwanachama  anaweza  kujifuta  uanachama  kwa  kuwasilisha  barua  kwa Katibu  wa  Klabu. Kufukuzwa uanachama Mkutano  Mkuu  unaweza kumfukuza  mwanachama  kutokana  na  ukiukwaji  waKatiba  hii,  kanuni,  maagizo  na  maamuzi  ya  Mandela  Veteran  Football  Club kulingana na vigezo vilivyoainishwa kwenye Ibara ya 13 hapo juu.