Mwanachama  anaweza  kujifuta  uanachama  kwa  kuwasilisha  barua  kwa Katibu  wa  Klabu.

Kufukuzwa uanachama

Mkutano  Mkuu  unaweza kumfukuza  mwanachama  kutokana  na  ukiukwaji  waKatiba  hii,  kanuni,  maagizo  na  maamuzi  ya  Mandela  Veteran  Football  Club kulingana na vigezo vilivyoainishwa kwenye Ibara ya 13 hapo juu.

mandela
November 25, 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *