25 Jan
mandela

Ufafanuzi wa Muundo Mkutano Mkuu  ni  mkutano  ambao  wanachama  wote  wa  Klabu  watakutana  na  utawakilisha mamlaka   ya  juu  ya Klabu.  Huu   ni  mkutano  ulioitishwa  kwa  kufuata  utaratibu  uliowekwa  na  utakuwa  na  mamlaka   ya  kufanya  maamuzi Hali kadhalika,  watakaoitwa  katika  Mkutano  Mkuu  huo  kama  washauri  ni  wanachama  wa  heshima  watakaoteuliwa  na  Bodi  ya  utendaji Bodi ya …