09 Nov
mandela

Mandela Veteran  Football  Club  itakuwa  na  vyombo  vifuatavyo: Mkutano Mkuu Bodi ya  utendaji Sekretarieti Kamati za  kudumu Kamati ya  nidhamu Kamati ya  uongozi Chombo cha  ukaguzi wa  mahesabu Bodi  ya  utendaji  ina  mamlaka  ya  kuteua  kamati  za  kudumu,  na  kamati  hizo  ni  za  ushauri  zitakazoongozwa  na  kanuni  maalumu  zitakazothibitishwa  na  Bodi  ya  utendaji Endapo dharura …