08 Mar
mandela

 Aina za wanachama Kutakuwa na aina zifuatazo za wanachama: Wanachama waanzilishi. Uanachama utakuwa wa wazi kwa watu wote. Wanachama wa kuomba. Raia wa  Tanzania  ambao  watapenda  kuwa  wanachama  wa  Mandela  Veteran  Football  Club wataomba  kuwa  wanachama  na  kupewa  masharti ya  kujiunga  kulingana na vigezo vya katiba hii. Wanachama wa heshima. Wale wote  waliopewa  uanachama  wa …