![](https://mandelaveteransportsclub.co.tz/wp-content/uploads/2020/11/263656424_3133301430223096_4816627233446198015_n_1_1200x740.jpg)
- Mandela Veteran Football Club itakuwa na vyombo vifuatavyo:
- Mkutano Mkuu
- Bodi ya utendaji
- Sekretarieti
- Kamati za kudumu
- Kamati ya nidhamu
- Kamati ya uongozi
- Chombo cha ukaguzi wa mahesabu
Bodi ya utendaji ina mamlaka ya kuteua kamati za kudumu, na kamati hizo ni za ushauri zitakazoongozwa na kanuni maalumu zitakazothibitishwa na Bodi ya utendaji
- Endapo dharura au jambo maalumu linalohusu maslahi ya Klabu na linahitaji kushughulikiwa kipekee au kuchambuliwa kwa kina, Bodi ya utendaji ina mamlaka ya kuteua Kamati ya dharura kwa madhumuni Kamati hiyo itakuwa ya ushauri na yenye hadidu rejea zilizoidhinishwa na Bodi ya utendaji