MANDELA VETERANI SPORTS CLUB

Mandela Veterans Sports Club ni klabu ya mpira wa miguu na michezo mbalilbali  yenye maskani yake Bombambili, Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. Ikiwa imeanzishwa mnamo mwaka 2000 na yenye Kauli mbiu ya kuboresha afya na   kukuza Utalii kusini mwa Tanzania.

Mandela Veterans Sports Cub, ni moja ya vilabu vikongwe zaidi ndani ya mkoa wa Ruvuma na Tanzania kwa ujumla  na ni klabu iliyofurahia mafanikio makubwa sana ikiwa na kuwa na uongozi imara na wanachama wenye weledi na pamoja na kuwa na uwanja wao wa mazoezi wa Sokoine. Mandela Veterans Sports Club ni club iliyosajiliwa na baraza la michezo la Taifa na wana wanachama wapatao 120 kutoka jinsi zote.

Pia wana katiba inayowaongoza kwenye mambo yao ikiwepo wajibu na haki za mwanachana, taratibu za kujiunga na kujiondoa kwa mwanachama, michango na taratibu zingine zinazohusi jumuiya ya wanakikundi. Mandela Veterans Sports Club inaushiriki mkubwa kwenye michezo mabalimbali kwani wana siku yao inayowafanya wakutane na kuwa na michezo mbalimbali kama namna ya kuboresha afya na kusumisha undugu kati yao na jamii kwa ujumla.

350 +

Total Matches

3 +

TOTAL TRAINERS

95 +

TOTAL PLAYERS

26 +

TOTAL AWARDS